Linda Shebby, Mkuranga
MKUU wa Mkoa Pwani ALHAJ Abubakari Kunenge amewataka Wajumbe wa baraza kutenda haki katika kuamua kesi za migogoro ya ardhi kwenye maeneo yao.
Akisisitiza juu ya hilo leo alipozungumza na Baraza lao Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani pia amewasisitiza kuwa na hofu ya Mungu katika utendaji wao wa kazi za kila siku.
Aidha Kunenge alisema kuwa tatizo la migogoro ya ardhi lina mkera sana hasa kwenye Mkoa wa Pwani hivyo amewataka wajumbe hao kuzingatia madili ya kazi zao .
" Naelewa katika sekta hi ikunaushawishi mkubwa na kuwapnya Wajumbe hai waepuke sana vishawishi vya pesa na kuwataja wawe mahiri katika uwajibikaji.
Kunenge alisema haya Mara baada kuwaapisha wajumbe wa baraza la ardhi Wilaya Mkuranga na kusisitiza haki zitendeke kila siku wakati wowote ingawa changamoto zipo zinafahamika lakini wanawajibu wa kuhakikisha wanatendea haki wananchi haki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...