Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, katika Ukumbi wa Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021




 
-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja  na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani leo Septemba 23,2021. PICHA NA IKULU.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Marekani, mara baada ya kuhutubia mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Septemba 23,2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...