Baadhi ya Wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) na wanafunzi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (SJMC),wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki mafunzo ya kujitambua na kusimamia malengo yao iliyotolewa leo Septemba 23,2021 na Mwandishi Mwandamizi, Joyce Shebe kwenye ofisi za klabu hiyo zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mafunzo hayo ni matokeo ya mafunzo yaliyotolewa katika Jiji la Nairobi nchini Kenya Aprili,2021 na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation For Freedom kwa wanahabari wanawake kutoka Kenya na Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...