Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akisoma hotuba yake kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye mahafali ya 43 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo  katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba akizungumza namna Serikali ilivyojipanga kuisimamia Bodi ya NBAA ili iweze kutekeleza majukumu yake wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akitoa ufafanuzi kuhusu Bodi hiyo inavyofanya kazi zake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na wahitimu wa Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Elimu na mafunzo NBAA Peter J. Lyimo akizungumza kuhusu wanavyosimamia uandaaji wa mitihani pamoja na namna walivyojipanga kusimamia mitihani ya Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Baadhi ya wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba aliyokuwa akiitoa kwa wahitimu hiyo kwenye mahafali ya 43 ya Bodi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanayakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) pamoja na wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakisoma viapo vyao wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe akiwatunuku wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye ngazi za  ATEC, CPA, na IPSAS kwenye mahafali ya 43 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo  katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakishangilia mara baada ya kutunukiwa kwenye mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa zawadi baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mgeni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa vyeti kwa baadhi ya vituo vya kufanyika mitihani vilivyofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya taaluma na Ushauri  CPA Angyelile Tende akitoa neno la shukrani kwa Mgeni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, wahitimu wa Bodi na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye ngazi za  ATEC, CPA, na IPSAS wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Mgeni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 43 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...