Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, uliopo Ruangwa mkoani Lindi,
Muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi ambao unafanyiwa ukarabati, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliutembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wake Oktoba 26, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...