Naibu balozi wa Uingereza nchini
Tanzania, Rick Shearn na Kemi Williams, Mkurugenzi wa Maendeleo wa
ubalozi wa Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali cha SBL, Moshi.
Naibu balozi wa Uingereza, Rick Shearn (kushoto) na Kemi Williams, Mkurugenzi wa Maendeleo wa ubalozi wa Uingereza (kulia) wakizungumza na uongozi wa SBL (hawapo pichani) katika ziara yao kwenye kiwanda cha SBL kilichopo Moshi.
Naibu balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Rick Shearn (kushoto) wakiteta na Mkurugenzi wa Mahusiano, John Wanyancha (kushoto) katika ziara yake ya kikazi kwenye kiwanda cha Serengeti Breweries Limited (SBL) kilichopo Moshi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...