Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemary Senyamule (wa pili kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye ulemavu Jenista Mhagama (wa tatu kulia) na viongozi wengine alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chato, Geita Oktoba 11, 2021 ambapo kesho anatarajia kuzindua wiki ya Vijana Kitaifa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...