Na.WAMJW- DSM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima leo amekutana na Wadau wa afya ya macho na kujadili mikakati ya kuboresha huduma za macho katika kuelekea maadhimisho ya siku ya afya ya macho Duniani kwa mwaka 2021 yenye kauli mbiu isemayo “Yapende macho yako, Nenda kapime sasa, kila mtu anahusika.

Dkt. Gwajima amekutana na wadau hao Mkoani Dar es salaam ikiwa ni sehemu moja wapo ya utekelezaji wa maelekezo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ya ushirikiano wa Serikali na wadau kutembea pamoja ili kuwafikia watu wenye uhitaji nchini.







 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...