Mwenyekiti WA SHIMIWI akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD kombe maalumu la mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa  akikabidhi Kadi ya umiliki  wa Trekta mkulima aliyenunua Trekta Kwa ofa maalumu ya kipindi cha michezo ya SHIMIWI yaliyomalizika Jana mjini Morogoro Chini ya udhamini wa Agricom Africa ltd
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa  akizungumza jambo na Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Agricom Africa ltd


 Waziri Bashungwa,Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Martin Shigela pamoja na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, wakihakiki na kumkabidhi trekta mteja wa Agricom Africa ltd ambaye ndiye mdhamini mkuu wa SHIMIWI

Waziri Bashungwa akiwasha trekta alilonunua mkulima wa Dakawa kutokea Agricom Africa ltd wakati wa mashindano ya SHIMIW,ambapo Agricom Africa ltd ndiye mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2021.

Mwenyekiti WA SHIMIWI akimvisha Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD medali maalumu ya mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.
Baadhi yawafanyakazi wa Agricom Africa wakiwa na  baadhi ya Wateja  waliofika kununua Zana za kilimo kwenye mashindano ya wizara zote za serikali SHIMIWI.yalifanyika mjini Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...