Kamera ya Michuzi Tv leo Novemba 05, 2021 imenasa wafanyabiasahara wa eneo la Mbezi Luis jiji la Dar es Salaam wakihamishi vibanda vyao kutii agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla la kuondoa vibanda kandokando ya barabra kama wanavyoonekana pichani.
Kazi ya kusafisha endeo lilikuwa na vibanda vya wafanyabiashara ikiendelea kama inavyoonekana pichani.
Kazi ikiendelea ya kuondowa vibanda.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...