Meneja Mwandamizi wa Huduma za Mauzo wa Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki
ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya
Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo
Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu
ya mashindano hayo.
Meneja Mwandamizi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo akisisitiza jambo wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki
ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya
Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo
Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu
ya mashindano hayo.

Rais wa Shirikisho la mpira wa Kikapu Tanzania (TBF), Phares Magese akizungumza wakati wa semina kwa wachezaji na viongozi wa timu za mikoa zinazoshiriki mashindano ya taifa ya mpira wa kikabu ya Benki
ya CRDB (CRDB Bank Taifa Cup 2021), yanayoanza leo kwenye viwanja vya
Chinangali, jijini Dodoma. Semina hiyo imefanyika kwenye moja ya kumbi za Chuo
Kikuu cha Dodoma huku lengo likiwa ni kukumbushana mambo mbalimbali juu
ya mashindano hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...