Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator Wambugu Wagichohi akijibu maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika mafunzo kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.
Mshauri Muelekezi wa Mradi wa Africa Franchising Accelerator Wambugu Wagichohi kulia akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.
Muandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika hafla ya mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mradi utakaowasaidia Wafanyabiashara Wazawa kukuza biashara zao Ndani na Nje ya Nchi (FRANCHISING)hafla iliofanyika katika Ukumbi wa shirika la Bima Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...