Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 25,2021 mjini Morogoro.
Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro yaliyofanyika leo Novemba 25,2021 mjini Morogoro.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...