Furaha Ya Tamisemi baada ya ushindi
Mashindano ya SHIMIWI 2021 chini ya UDHAMINI wa AGRICOM AFRICA LTD yameendelea leo,ambapo kwenye Mpira wa miguu timu ya Katiba na Sheria pamoja na Tamisemi zimefanikiwa kuingia fainali.
Sambamba na mashindano haya Agricom Africa Ltd wameendeleza OFA yao ya zana mbalimbali za kilimo pamoja na vipuri halisi Kwa wateja na watu mbalimbali wanaotembelea viwanjani na kwenye mabanda yao kuulizia zana hizi bora na Vipuri pamoja nakuzishuhudia zile ambazo zipo huko viwanjani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...