Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge Mussa Sima wa Singida Mjini (kushoto), Nape Nnauye wa Mtama (wa pili kushoto) na Francis Mtinga wa Iramba Mashariki kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, bungeni jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayenga, Bungeni jijini Dodoma

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi akiapa kuwa Mbunge, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...