Mtendaji Mkuu wa Agricom Africa ltd Bw. Alex Duffar akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya matrekta yaliyotolewa na Agricom Africa ltd kupitia udhamini wa mkopo wa CRDB Bank
Mwakilishi wa Meneja wa kanda WA Benki ya CRDB nyanda za juu kusini akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya matrekta yaliyotolewa na Agricom Africa ltd kupitia udhamini wa mkopo wa CRDB Bank Igurusi mbeya
Mkuu wa mkoa akiwasha mojawapo ya trektaPicha ya pamoja Kati ya mkuu wa mkoa wa Mbeya na wakulima waliokabidhiwa trekta ndogo aina ya Kubota Powertillers
Mkuu wa mkoa wa Mbeya,mwakilishi wa Meneja wa kanda WA Benki ya CRDB na Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD wakiwa na funguo kama ishara ya makabidhiano ya matrekta yaliyotolewa na Agricom Africa ltd kupitia udhamini wa mkopo wa CRDB Bank.
Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD akifurahia picha ya pamoja na wakulima waliokabidhiwa trekta ndogo aina ya Kubota Powertillers kwenye ofisi za Agricom Africa ltd Igurusi
Wakulima waliokabidhiwa trekta ndogo aina ya Kubota Powertillers
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...