Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Godwin Gondwe (katikati) akiteta jambo
na Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay
(kushoto) wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na
Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta,
Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za
kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Akifuatilia kwa makini mazungumzo
hayo, kulia ni Mkurugenzi wa Masuala ya Umma na Mawasiliano wa Coca-Cola
Kwanza Tanzania, Salum Nassor. Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha
Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha
biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Godwin Gondwe (kushoto) pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay (kulia)
wakitembelea baadhi ya mabanda ya wafanyabiashara wakati wa kilele cha
tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii
katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia
ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Pamoja
nao kwa nyuma ni, Mkurugenzi wa Masuala ya Umma na Mawasiliano wa
Coca-Cola Kwanza Tanzania, Salum Nassor. Kampuni hiyo kupitia kinywaji
chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula
cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji. Mwigizaji
wa Filamu Tanzania, Esha Buheti (wa kwanza kulia) akiwahudumia wateja
kama miongoni mwa mfanyabiashara aliyeshiriki kilele cha tamasha la
‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika
viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu
ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo
kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na
wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika
maeneo tofauti ya jiji.
Baadhi ya wateja na wahudhuriaji wakifurahia chakula cha biriani na
kinywaji cha Coca-Cola wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival
na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta,
Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za
kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake
cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha
biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Coca-Cola Kwanza Tanzania, Unguu Sulay,
akizungumza wakati wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na
Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika viwanja vya Posta,
Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za
kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake
cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha
biriani ambacho kimekuwa maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Stamina, akitumbuiza jukwaani
kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha
tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii
katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia
ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni
hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na
wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika
maeneo tofauti ya jiji.
Msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini, Joh Makini, akitumbuiza jukwaani
kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha
tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii
katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia
ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni
hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na
wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika
maeneo tofauti ya jiji.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Baba Levo, akitumbuiza
jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa
kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika
mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu
Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa
ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa
maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Msanii wa muziki wa Hip-Hop nchini, Frida Amani, akitumbuiza jukwaani
kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele cha
tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii
katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia
ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni
hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na
wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika
maeneo tofauti ya jiji.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava, Baddest 47, akitumbuiza
jukwaani kwa wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati wa kilele
cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema
wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam
ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu
Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa
ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa
maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
DJ Dommy akiwarusha wahudhuriaji na mashabiki (hawapo pichani) wakati
wa kilele cha tamasha la ‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika
mapema wiki hii katika viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam ambalo pia ni sehemu ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu
Halisi.’ Kampuni hiyo kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa
ikishirikiana na wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa
maarufu katika maeneo tofauti ya jiji.
Baadhi
ya mashabiki wakiburudika kwa kufurahia muziki uliokuwa ukitumbuizwa na
wasanii tofauti (hawapo pichani) wakati wa kilele cha tamasha la
‘Biriani Festival na Coca-Cola’ lililofanyika mapema wiki hii katika
viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambalo pia ni sehemu
ya shamrashamra za kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi.’ Kampuni hiyo
kupitia kinywaji chake cha Coca-Cola imekuwa ikishirikiana na
wafanyabiashara wa chakula cha biriani ambacho kimekuwa maarufu katika
maeneo tofauti ya jiji.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...