Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiwasilisha mada kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaoendelea leo Abuja nchini Nigeria.


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wapili kulia mbele) akishiriki katika mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika yanayoendelea leo Abuja nchini Nigeria.


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akifuatilia kwa makini mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika yanayoendelea leo Abuja nchini Nigeria.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...