RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya  L’oasis Beach Resort Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Bw.Ahmed Saber, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Soranga, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamkaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar.(ZIPA) Bw.Sharif Ali Sharif, wakipoga makofi baada ya kuwekwa kwa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi huo, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmmoja wa Uongozi wake.Dk Mwinyi.(Picha na Ikulu)

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mkurugenzi wa Mradi huo Bw.Ahmed Saber akionda kipazia, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi wa Hoteli hiyo Kizimkazini

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja(hawapo pichani) baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort Kizimkazi, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Utali na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi. Lela Burhan Ngozi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasisi Beach Resort, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kizimkazi wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii, ikiwa ni shamrashamra ua kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya L’oasis Beach Resort Kizimkazini Mwinyi Sarboko, akitowa maelezo ya ujenzi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya ujenzi huo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja.(

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...