Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi
mbalimbali waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea
Cairo nchini Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri kwa
ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...