Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe. Boris
Johnson, anyeshugulikia masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzani
Bw. Lord Walney mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 17 Novemba 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Mwenyekiti wa Mabenki ya Umoja wa Afrika (UBA) Dkt. Tony
Elumelu, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17
Novemba 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na
Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE) Bw. Sultan
Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Novemba 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
kwa njia ya mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Equinor
Anders Opedal, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...