Waheshimiwa Majaji wa Mahkama Kuu Zanzibar wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Mwanasheria Mkuu na Naibu Mwanasheria, wakiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 30-10-2021.
BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wanafamilia wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu na Mkurugenzi wa Mashtaka na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka.iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Muumin Khamis Kombo kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-10-2021, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

MHE Muumin Khamis Kombo akiapishwa kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-10-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Salma Ali Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha.Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka , hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-10-2021.
Bi.Mwanamkaa Abdulrahaman Mohammed kiapa kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, akiapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) hafla hiyo  ya kuapishwa iliyofanyika leo 30-10-2021 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...