Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimkaribisha Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na Mke wa Balozi Amna Hajlaoui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...