Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani
Tanzania (IIAT) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea
pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja (kushoto) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
Wasaidizi wa Rais, wakiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kukutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
(kulia) akipokea Kitabu cha Muongozo wa Kimataifa kwa Waguzi wa Ndani
kutoka kwa Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIAT)Nd,Zelia Njeza baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar pamoja na kupokea pongezi kwa Uongozi wake wa mwaka Mmoja .[Picha na Ikulu] 29/11/2021
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...