Muonekano wa kipande cha barabara ya Chunya - Makongorosi yenye urefu wa Kilomita 39 ambao unatarajiwa kukamilika Februari 2022 ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua maendeleo ya ujenzi wake, Novemba 29, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Mji Mdogo wa Makongorosi wilayani Chunya Novemba 29, 2021 wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Chunya - Makongorosi yenye urefu wa Kilomita 39 ambao unatarajiwa kukamilika Februari 2022 .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...