Na Mwamvua Mwinyi, CHALINZE
MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete aipongeza na kuishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza juhudi za kuunganisha huduma ya nishati ya umeme katika vijiji zaidi ya asilimia 90 sasa , jimboni hapo ikiwemo Kijiji Cha Pongwe Msungura,Chalinze.

Alisema Kazi ya kuwaunganisha Wananchi nishati ya Umeme inaendelea kwani itakuwa mkombozi kwao kutokana Na kukosa huduma hiyo miaka yote ya nyuma.

"Tunaishukururu Chini ya Mama wa Maendeleo Rais wetu wa JMT @SuluhuSamia kwa kuendelea kusambaza nishati hii kwa Wananchi. "Hadi sasa vijiji zaidi ya Asilimia 90 vimeshaunganishwa kwenye Mtandao wa Umeme. "Alieleza Ridhiwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...