Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akikambidhi zawadi yenye mfano wa Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi tukio lililofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria waliomtembela leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2021, Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...