*Zifuate Odds Bora Kunako Meridianbet! 

BAADA ya mzunguko wa kwanza kwenye hatua za makundi, mashindano ya Ulaya kuendelea wiki hii. Ungwe ya pili hatua ya makundi kurindima viwanjani. Nani ni nani wiki hii.

Atalanta kuwaalika Manchester United jumanne hii. Baada ya kuandamwa na matokeo mabovu, United waliwalaza na viatu Spurs wikiendi iliyopita. Watafanya nini kwenye mchezo wa 2 kati ya 3 inayosemekana imebeba kibarua cha Ole Gunnar SolskjaerMeridianbet tumekuwekea Odds ya 2.39 kwa United.

Anfield kuunguruma jumatano usiku. Liverpool kurudiana na Atletico Madrid. Mchezo wa kwanza, Liverpool walishinda 3-2 pale Wanda Metropolitano, wataendeleza ubabe kwenye mchezo wa marudiano? Ifuate Odds ya 1.66 kwa Liverpool.

Kwenye Ligi ya EuropaAS Monaco kurudiana na PSV Eindhoven. Mzungo wa pili mara nyingi ni michezo ya kufa au kupona, dakika 90 kuamua nani anasonga mbele au kuanza safari ya kuyaaga mashindano. Shujaa wako yupo ndani ya MeridianbetOdds ya 2.16 ipo kwa Monaco wiki hii.

Kunako Europa Conference League Alhamisi hii, Union Berlin watachuana na Feyernood katika mchezo wa 4 hatua ya makundi. Unaweza kutengeneza faida kupitia mchezo huu ukichagua kubashiri na Meridianbet wiki hii. Ifuate Odds ya 2.11 kwa Union Berlin.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...