NA PATRICIA KIMELEMETA


WAZAZI wameshauriwa kuwaweka watoto wao katika hali ya usafi ili kuwaepusha ugonjwa wa UTI ambayo baadae unaweza kuathiri mifumo ya mkono NA kupata ugonjwa figo.

Hayo yalisemwa na Profesa Francis Furoa alipozungumza na Michuzi Blog, ambapo amesema kuwa, idadi kubwa ya watoto wanapata UTI ya mara kwa mara kutokana na wazazi kushindwa kuwasafisha vizuri na kusababisha kupata maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambao baadae unaweza kusababisha kupata matatizo ya figo.

Alisema, kuwa, kuna baadhi ya watoto wanashinda siku nzima na pampas huku wakiwa wamejisaidia hali ambayo jnahatarisha afya yake, hivyo basi wazazi na wwlezi wanapaswa kuwanawisha mara kwa mara ili kuondoa bakteria au kinyesi.

"Baadhi ya wazazj au walezi wanashindwa kuwanawisha vizuri watoto wao wanapojisaidia hali inayosababisha kupata UTI ya mara kwa mara, hivyo basi wanapaswa kubadirika na kuwaweka watoto katika hali ya usafi.

Alisema watalaam wa afya wataenendelea kutoa elimu ya malezi na makuzi bora kwa mtoto ili wazazi waweze kubadilika.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...