Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuzindua rasmi kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa juu wa kiwanda cha saruji cha Twiga, ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni hiyo, eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia watumishi wa Kampuni ya Twiga, wakati alipozindua kinu namba 2 cha saruji cha Kampuni Twiga, kilichopo eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es salaam, Novemba 16, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...