Mhasibu Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango Leonard Mkuu akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa TASAC Abdul Mkeyenge kwa TASAC kushika nafasi ya kwanza ya mashindano ya uandaaji na kuwasilisha taarifa za mahesabu ya ukaguzi 2020/2021 kwa mamlaka za udhibiti Tanzania ambapo Mkurugenzi Mkuu amesema anashukuru kwa TASAC kungara katika tuzo hizo kutokana timu yake kujipanga na kuandaa hesabu zao vizuri na kusema wataendelea kushikilia rekodi hiyo kwa mwaka ujao.
Picha ya pamoja ya washindi mbalimba za Tuzo za NBAA zilizofanyika jijini Dar es Salaam .
Picha mbalimbali za timu ya TASAC katika utoaji wa tuzo za NBAA zilizofanyika
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...