Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Pamela Nchimbi ( kushoto) akizungumza katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya fedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fortunata Benedict akitoa elimu ya maswala ya fedha katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya Kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Dk. Anna Abdul akizungumza katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
 

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Pamela Nchimbi ( wa pili kulia) akitoa elimu ya masuala ya maendeleo endelevu katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu. Kutoka kulia ni Mtaalamu wa masuala ya Kimaisha, Mihaela Marcu, Mshauri wa masuala ya afya kwa jamii, Naomi Serbantez na Mkurugenzi wa Mgahawa wa Terrace, Sarah Raqey.


Baadhi ya washiriki wakichangia mada katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...