Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza wakiwasili katika ukumbi wa Mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika  leo katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe aliombatana nao kutoka kutoka Tanzania.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza wakiwa Ujumbe waliombatana nao  wakizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Detail Companya Adventures, Gary Quinn ambaye ni miongoni mmiliki wa vitalu vya uwindaji nchini Tanzania aliyeshiriki katika   Maonesho yanayofanyika wakati wa   Mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika  leo katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (wan ne kulia) Wakiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza (wa tatu kulia)  wakiwa kwenye picha ya pamoja na  Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Kilombero North Safaris, Zidane Janbecks (wan ne kushoto) mara baada ya kutembelea banda la  Maonesho wakati wa  Mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika  leo katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Kaimu Kamishna Uhifadhi wa TAWA, Mabula Misungwi wakipata maelezo  kutoka kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Robin Hurt Safari, Luke Kellog  ambaye ni miongoni mwa mmiliki wa vitalu vya uwindaji nchini Tanzania aliyeshiriki katika   Maonesho yanayofanyika wakati wa Mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika  leo katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Dkt. Elsie Kanza akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwindaji wa Kitalii ya Kilombero North Safaris, Zidane Janbecks  mara baada ya kutembelea banda la  Maonesho wakati wa  Mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi kufanyika  leo katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani. Wengine ni Wajumbe aliombatana nao kutoka kutoka Tanzania.
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kutoka Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmiliki wa Kampuni ya uwindaji wa Kitalii ya Michel Mantheakis Safaris Ltd, Bw. Michel Mantheakis (wa tatu kulia) ambaye ni mmiliki wa  vitalu vya uwindaji wa kitalii nchini Tanzania, ikiwa ni miongoni mwa Makampuni nane kutoka Tanzania yaliyoshiriki katika mkutano wa  50 wa mwaka  wa Uwindaji wa Kitalii ( Annual Hunting Convention) ulioanza rasmi leo  katika Jiji la  Las Vegas, Nevada nchini Marekani. 

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...