Dk. Shein akiwasili katika Viwanja Vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, katika sherehe za ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya CCM.
Dk. Shein akivalishwa skafu baada ya kuwasili katika Viwanja Vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, katika sherehe za uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 45 ya CCM.
Viongozi mbalimbali wakimlaki Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja vya Mwehe, Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk. Ali Mohame Shein akizungumza wakati wa akizindua sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...