Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa pole kwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal pamoja na familia yake kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. Bilal aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohammed Gharib Bilal alipofika kutoa pole kufuatia kifo cha Mama yake Dkt. aliyefariki tarehe 3 Januari 2022 na kuzikwa tarehe 4 Januari 2022 kijiji cha Kiboje mkoa wa Kusini Unguja .PICHA – OFISI YA MAKAMU WA RAIS JAN 24,2022
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...