RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa  amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla ya kutunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein,iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Nishani ya Mapinduzi Rais wa Zanzibar Mstaafu wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar,Tanzania na wa Afrika Mashariki katika hafla ya kutunuku kwa Nishani ya Mapinduzi na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Balozi Seif Ali Iddi na Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Khamis Ramadha Abdalla.(


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, baada ya kumtunuku Nishani ya Mapinduzi, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2022.(Picha na Ikulu)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...