Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi katika Hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Biashara Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban alipokua akitembelea Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar mara baada ya kukifungua rasmi kiwanda hicho leo tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...