Washindi wa promosheni ya Vodacom "Show Love, Tule Shangwe" wakiwa na zawadi mara baada ya kukabidhiwa na Meneja mkakati wa biashara na masoko Vodacom kanda ya nyanda za juu kusini, Magreth Lawrence (watatu kulia ) kwenye hafla iliyofanyika jijini Mbeya, katikati ni mwendesha promosheni hiyo Masta Shangwe. Msimu huu wa sikukuu Vodacom inatoa zawadi kwa wapendanao ambapo wateja wanaweza kununua bando na kutumia huduma ya M-Pesa kwa kupiga *149*01#

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...