Jengo la madarasa manane la Skuli ya Sekondari ya Nungwi lililofunguliwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Simai Mohamed Said akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya  Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...