Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Kazi kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, TARURA na Wakandarasi, uliofanyika katika ukimbi wa St. Gasper  Jijini Dodoma, Februari 12, 2022. 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kazi kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, TARURA na Wakandarasi, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati  alipofungua mkutano huo, uliofanyika katika ukumbi wa St. Gasper Jijini Dodoma, Februari 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...