Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia zoezi la upandaji miti likifanywa na wanafunzi wa St. Peter Claver ikiwa ni utangulizi katika kuzindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021. Februari 12,2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiongoza viongozi mbalimbali, wananchi na wanafunzi katika zoezi la kupanda miti eneo la barabara ya Chimwaga - St. Peter Claver mkoani Dodoma ikiwa ni utangulizi katika kuzindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021. Februari 12,2022


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na washiriki wa zoezi la upandaji miti lililofanyika eneo la barabara ya Chimwaga - St. Peter Claver mkoani Dodoma ikiwa ni utangulizi katika kuzindua Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021. Februari 12,2022.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...