Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 5 Februari 2022 akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umebeba kauli mbiu isemayo Kuimarisha Lishe na Usalama wa Chakula barani Afrika: Kuongeza kasi ya Uzalishaji katika Kilimo,Maendeleo ya Rasilimali Watu  na Maendeleo Endelevu  ya Kiuchumi na Kijamii” .



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...