Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 1, 2022. Katikati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Maulid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu,
bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson akiapa kuwa Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Shangai akiapa, bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...