Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini kuelekea Musoma Mkoani Mara. akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM Mwanza pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini kuelekea Musoma Mkoani Mara. akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibae wakati wakiondoka kuelekea Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma.[PICHA NA IKULU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kulia) pamoja na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibar wakati wakiondoka kuelekea Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...