Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa Mara alipowasili katika Kijiji cha Mugango Wilaya ya Musoma Vijijini kwa ajili ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi wa Mugango,Kiabakari,Butiama leo tarehe 06 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mkoani Mara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali hiyo iliopo katika Kijiji cha Kwangwa Halmashauri ya Manispa ya Musoma Mjini leo tarehe 06 Februari, 2022, Mhe. Rais Samia yupo katika ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Mara kutembelea kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu akicheza ngoma ya
Singeli pamoja na Viongozi mbalimbali na Wananchi wa Kijiji cha Mugango Wilaya ya Musoma Vijijini Mkoani
Mara mara Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuweka
jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi wa Mugango,Kiabakari,Butiama leo tarehe 06
Februari, 2022, Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Mara kwa ziara ya kikazi ya siku
nne ya kutembelea kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...