


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF) Jijini Paris.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Wageni alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Mhe. Aundrey Axoulay.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...