Familia ya Alexander Masalu Mabele na Bertha Basugi
Mabele, wanatangaza kifo cha Mathias Mabele kilichotokea siku ya Ijumaa
tarehe 11 February 2022 saa 12 alfajiri.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu tarehe 14 February 2022 kwenye makaburi ya Kinondoni
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe. Amen.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...