Mkurugenzi Mkuu wa TPA Bw. Eric Hamiss, Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano Bw. Freddy Liundi na Kaimu Meneja wa Masoko Bi Lydia Mallya wakiwa katika kikao cha kumalizia majadiliano ya kibiashara na wawakilishi wa Nunu Logistics, Central Corridor-TTFA na TRC kwa ajili ya kusaini Service Level Agreement (SLA) yenye lengo la kutoa huduma bora kwa mizigo ya Uganda kupitia bandari ya Mwanza mpaka PortBell.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...