Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu Waziri, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali Suleiman Mzee, kabla ya kuanza kwa kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...