Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Absa Tanzania, Patrick Foya (wa sita kushoto), akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake jijini Dar es Salaam Jana. Absa iliandaa hafla hiyo kwa ajili ya Wanawake wateja wao, watoa Huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Pamoja naye ni baadhi ya viongozi wa Absa wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Abdi Mohamed (wa nane kushoto).
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro ( wa pili kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume (kushoto) huku Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas ( kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdi Mohamed akiangalia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa kwa ajili ya baadhi ya wateja wake wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
.Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar ( kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya baadhi ya wateja wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (katikati) akipokea tuzo ya shukrani kuwa mgeni rasmi kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya baadhi ya wateja wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- (Redskirts), Irene Sengati- Giattas.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro ( wa pili kulia) akipokea tuzo ya shukrani kuwa mtoa mada kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Benki ya Absa Africa, Elizabeth Willilo katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas na Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa benki hiyo, Esther Maruma.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume (wa pili kulia) akipokea tuzo ya shukrani kuwa mtoa mada kutoka kwa Mkuu wa wateja Wadogo wa benki hiyo, Ndabu Swere wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki ya Absa jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas na Mkuu wa Vipaji, Mafunzo na Uongozi wa Absa, Veronica Muumba.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa pili kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji bora Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Ndabu Swere katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki hiyo kwa baadhi ya wateja wake wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wa Absa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa tatu kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji bora Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Benki ya Absa Tanzania, Eveline Kamara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa Absa. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (katikati) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji uliotukuka Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa tatu kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji bora Mkuu wa Mauzo ya Masoko ya Nje, Irene Rwegalulira wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Benki ya Absa jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wanawake watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa Absa. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa tatu kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji bora Ofisa katika kitengo cha wateja binafsi, Irene Msungu wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Benki ya Absa jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake benki hiyo. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rex Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa tatu kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi kwa utendaji bora Mkuu wa Kitengo cha Malipo wa Benki ya Absa Tanzania, Jane Mbwilo katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa Absa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wa Benki ya Absa Tanzania- Redskirts, Irene Sengati- Giattas, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Red Advocates, Balozi Mwanaidi Sinare Maajar (wa pili kulia) na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Absa Tanzania, Fatma Amani Karume, wakikata keki katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na benki Absa kwa ajili ya baadhi ya wateja wake wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser (wa tatu kushoto) akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa benki hiyo huku wakionyesha alama ya usawa wa kijinsia ambayo ni kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka huu wakati wa hafla iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya baadhi ya wateja wao wanawake, watoa huduma wanawake na wafanyakazi wanawake wa benki hiyo jijini Dar es Salaam Jana.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...